18:00 Man Utd 4-0 Aston Villa
NB: Saa za Afrika Mashariki
Ahhhh! Man Utd yajibu mapigo kwa Man City!
Man City jana ilishinda 6-1 dhidi ya Norwich, Man Utd nayo imetoa ujumbe kwa Man City kwamba ubingwa msimu huu kazi ipo.
Matokea haya yamerudisha tofauti ya point 5 kati ya Man Utd (82) na Man City (77).
----------------------------------------------------------------------------------------------------
Man Utd inaogoza ligi ikiwa na point 79, point 2 zaidi ya Man City. Kazi ipo kuongeza tofauti ya point ama kupoteza mechi na kuwa mwanzo wa kuipisha Man City kileleni!
Kesho: Arsenal v Wigan
No comments:
Post a Comment