Saturday 14 April 2012

MECHI ZA 14 ARPIL 2012 - LIGI KUU YA UINGEREZA

14:45 Norwich 1-6 Man City
17:00 Sunderland 0-0 Wolves
17:00 Swansea 3-0 Blackburn
17:00 West Bromwich 1-0 QPR

NB: Saa za Afrika Mashariki

Man City wafanya karamu ya magoli na kupunguza kasi ya Man Utd, tofauti ya point imebakia 2 ingawa Man Utd anayo mechi ya ziada kibindoni. Kazi kwa Man Utd kesho kusuka ama kunyoa!

-----------------------------------------------------------------------------------------------
5 Games to go!
Man City ina point 74 kwenye nafasi ya 2, nyuma ya M'Utd kwa point 5 na mbele ya Arsenal kwa point 10.

Wolves (22) , Blackburn (28) zitafukuta vipi kutoka mkiani?

Kesho: Man Utd v Aston Villa,

Kwa mechi za FA angalia hapo juu


No comments:

Post a Comment