Wednesday 11 April 2012

LULU APANDISHWA KIZIMBANI

Elizabeth Michael a.k.a Lulu amepandishwa kizimbani leo kwenye Mahakama ya hakimu mkazi ya Kisutu, Dar es Salaam.

Lulu  ambaye pia ni muigizaji, anahusishwa na kifo cha muigizaji marehemu Steven Kanumba kilichotokea tarehe 7 April 2012. Marehemu Seteven Kanumba amezikwa 10 April 2012.

Kesi hiyo imehairishwa na itasikilizwa tena 23 April 2012.

Lulu alihojiwa na kipindi cha Mikasi siku kadhaa kabla ya mkasa uliompata..........

                                 

No comments:

Post a Comment