Monday 9 April 2012

MECHI ZA 09 APRIL 2012 - LIGI KUU YA UINGEREZA

17:00 Everton 4-0 Sunderland
17:00 Newcastle 2-0 Bolton
17:00 Tottenham 1-2 Norwich
19:30 Aston Villa 1-1 Stoke
22:00 Fulham 1-1 Chelsea

NB: Saa za Afrika Mashariki

Nafasi ya 3 na 4 inaanza kuwa kwenye hali wa wasiwasi!

Chelsea yadondosha point 2 muhimu na kurudi nyuma! Tottenham yapigwa  nyumbani na kupoteza point 3, Newcastle yafikisha point 59 na kuisukuma Chelsea nafasi moja chini..

Msimamo wa top ten ulivyo (point mabanoni):
1.Man Utd (79), 2.Man City (71), 3.Arsenal (61), 4.Tottenham(59), 5.Newcastle (59), 6.Chelsea (57),  7.Everton (47), 8.Liverpool (43), 9.Norwich (43),10.Sunderland (42)

----------------------------------------------------------------------------------------------------
Tottenham wanayo nafasi ya kunyakua point 3 na kuchukua nafasi ya 3 toka kwa Arsenal. Kinyume na ushindi ni kuipa nafuu Arsenal.

Chelsea na Newcastle zina point 56 kila moja, ushindi ni muhimu la sivyo matumaini ya kucheza kwenye ligi ya Machampion ama Europa msimu ujao ni ndoto.

Sunderland ipo kwenye nafasi ya 9 na point 42, ushindi dhidi ya Everton itakuwa pigo kwa Liverpool kwani Sunderland itasogea kwenye nafasi ya 8 na kuisukuma Liverpool kwenye nafasi ya 9.

Kesho: Blackburn v Liverpool

No comments:

Post a Comment