18:30 Swansea 0-2 Newcastle
NB Saa za Afrika Mashariki
Newcastle imefikisha point 56 na kupanda nafasi moja juu hadi nafasi ya 5, na kuwatereremsha Chelsea hadi nafasi ya 6.
Kwa matokeo haya, timu za Arsenal na Tottenham zipo hatarini kunyang'nywa nafasi ya kucheza Ligi ya Machampioni kama timu hizo zitashindwa kujizatiti kwa kupata ushindi katika mechi zao zilizobaki.
No comments:
Post a Comment