Sunday 1 April 2012

MECHI ZA 01 APRIL 2012 - LIGI KUU YA UINGEREZA

15:30 Newcastle 2-0 Liverpool
18:00 Tottenham 3-1 Swansea

NB: Saa za Afrika Mashariki

Tottenham imefikisha point 58 sawa na Arsenal, sasa nafasi ya 3 ni kama haina mwenyewe na muda si mrefu Arsenal itakuwa hatarini kuparangana na Chelsea katika nafasi ya 4 ama kutokucheza Ligi ya Mabingwa msimu ujao!

Liverpool wamepigwa 2-0 na red card kubwa kwa kipa wao! Labda huu ndio mwisho wa Bwawa la maini, sio ajabu wakamaliza msimu wakiwa nje ya top 10.

---------------------------------------------------------------------------------------------------------
Newcastle ipo nafasi ya 6 ina point 50, kama itashinda hakuta kuwa na mabadiliko yoyote zaidi ya kufikisha point 53 sawa na Chelsea.

Liverpool yenye point 42 kwenye nafasi ya 8, itapanda nafasi moja juu kwa matokeo ya sare ama ushindi, haya Bwawa la maini washindwe wenyewe!

Tottenham ipo nafasi ya 4 ina point 55 nyuma ya Arsenal kwa point 3,ikishinda kwa magoli zaidi ya 3 itajongea nafasi ya 3.
  
Kesho: Blackburn v Manchester Utd

No comments:

Post a Comment