Saturday 31 March 2012

MECHI ZA 31 MARCH 2012 - LIGI KUU YA UINGEREZA

17:00 Aston villa 2-4 Chelsea
17:00 Everton 2-0 West Bromwich
17:00 Fulham 2-1 Norwich
17:00 Manchester City 3-3 Sunderland
17:00 QPR 2-1 Arsenal
17:00 Wigan 2-0 Stoke City
17:00 Wolves 2-3 Bolton

NB: Saa za Afrika Mashariki

Chelsea yaendelea kujikita katika mbio za kuhakikisha wanamaliza katika topo 4 msimu huu.

Man City wanaendele kusuasua, kwa mwendo huu uenda wakamaliza nje ya top 4. Labda watamalizia hasira zao kwa Arsenal Jumapili ijayo.

Arsenal yapata kipigo, sasa nafasi ya 3 iko hatarini kuchukuliwa na Tottenham kesho! Itakuwaje mechi ijayo dhidi ya Man City? 

Bolton wanajikongoja kujitoa kwenye balaa la kushuka daraja, wamejivuta mpaka nafasi ya 16 na point 29, wakiwa na mechi ya moja ya ziada mkononi. 

Top ten ilivyo baada ya mechi (point mabanoni)
Man Utd (73), 2.Man City (71), 3.Arsenal (58), 4.Tottenham(55), 5.Chelsea (53), 6.Newcastle (50), 7.Everton(43), 8.Liverpool (42), 9.Sunderland (41), 10.Swansea (39) 

No comments:

Post a Comment