15:30 Chelsea 6-1 QPR
18:00 Tottenham 2-0 Blackburn
NB: Saa za Afrika Mashariki
Ohh! Chelsea yasulubisha, Tottenham yaamka usingizini, Arsenal tumbo joto!
Kwa matokeo haya Chelsea imefikisha point 61,na kubakia nafasi ya 6. Tottenham imefikisha point 62 sawa na Newcastle na kusogea nafasi ya 4.
Top 7 ilivyo (timu zote hizi zimebakiza mechi 3, isipokuwa Arsenal imebakiza mechi 2 kumaliza msimu):-
1.Man Utd (83), 2.Man City (80), 3.Arsenal(65), 4.Tottenham(62), 5.Newcastle(62), 6.Chelsea(61) 7.Everton(51)
--------------------------------------------------------------------------------------------------------
Ni nafasi kwa Tottenham na Chelsea kuzinyemelea Arsenal (65) na Newcastle (62).
Tottenham ipo nafasi ya 5 inazo point 59, point 3 nyuma ya Newcastle. Ushindi utaisogeza kwenye nafasi ya 4 na kuishusha Newcastle hadi nafasi ya 5. Kupoteza ama kutoa sare ni kutoa mwanya kwa Chelsea kuchukua nafasi ya 5 kama itashinda.
Chelsea inazo point 58, ipo nafasi ya 6. Ushindi ni muhimu kama Newcastle itapoteza mechi yake, ingawa pia matokeo ya sare yanaweza kuisogeza kwenye nafasi ya 6 kutokana na kuwa na idadi sawa (18) ya magoli ya kufunga.
Mechi za CAF kombe la Shirikisho tazama hapo chini .
Kesho:Man City v Man Utd
No comments:
Post a Comment