Sunday 1 April 2012

KITENDAWILI CHA UCHAGUZI JIMBO LA ARUMERU MASHARIKI

Tegua kitendawili hiki:-

Z.K amedai leo ni siku ya kihistoria kwa CHADEMA kwa kushinda chaguzi za udiwani na Ubunge Arumeru Mashariki!

Pia amedai kwamba hakuna raha kwenye siasa kama kuongeza kiti cha ubunge katika kipindi cha bunge.

Nani kasema hivyo ?

Jibu: ZK= Zitto Kabwe,

No comments:

Post a Comment