Sunday, 25 March 2012

MECHI ZA 25 MARCH 2012 - LIGI KUU YA UINGEREZA

18:00 West Bromwich 1-3 Newcastle

NB: Saa za Afrika Mashariki

Ushinda wa Newcastle kunaipa Chelsea wakati mgumu, kwani nafasi ya 4 inapata ushindani zaidi na pindi Chelsea ikipoteza mechi zijazo na Newcastle kushinda kutaigarimu Chelsea kwani kucheza ligi ya Machampion msimu ujao itakuwa ndoto! 

Top 10 ilivyo (point mabanoni):
1.Man City(70), 2.Man Utd (70), 3.Arsenal (58), 4.Tottenham (55), 5.Chelsea (50), 6.Newcastle (50), 7.Liverpool(42), 8.Sunderland (40), 9.Everton ( 40) , 10.Swansea (39)


-----------------------------------------------------------------------------------------------------
Newcastle yenye point 47, inaweza kutoa ushindani kuwania nafasi ya nne. Kwa matokeo yoyote itabaki kwenye nafasi 6, ipo nyuma ya Chelsea yenye point 50.

West Brom ina point 36 ikishinda itajitoa kwenye nafasi ya 14 mpaka nafasi ya 10, matokeo ya sare yaipandisha nafasi moja juu  

Mechi ya kesho: Manchester Utd v Fulham

No comments:

Post a Comment