Sunday 25 March 2012

ALONSO ACHUKUA USHINDI WA MALAYSIA GRAND PRIX

Baada ya mvua kuleta kizaazaa na kuwaweka madereva katika wakati mgumu, Alonso aliyeanza katika nafasi 9 ameshindarace za Malaysia Grand Prix, wakati Perez wa Sauber aliyeanza katika nafasi ya 10 amefakikiwa kuchukua nafasi ya pili.

McLaren wamekosa ushindi ambapo Hamilton aliyeanza katika nafasi ya 1 amejikuta akimaliza katika nafasi ya 3 na Button aliyeanza katika nafasi ya 2 amemaliza katika nafasi ya 14.

Upande wa Red Bull, Vetel alianza katika nafasi ya 6 na kumaliza katika nafasi ya 11,naye Webber alianza na kumaliza katika nafasi ya 4.

Msimamo wa top 10 ulivyo (point mabanoni) :
1.Alonso (35), 2.Hamilton (30), 3.Button (25) , 4.Webber (24), 5.Perez (22), 6.Vetel (18), 7.Raikkonen, 8.Senna (8), 9.Kobayashi, 10.Di Resta (7)
 
Race zinazofuata- Chenese Grand Prix (15 April)

 

No comments:

Post a Comment