15:45 Chelsea 0-0 Tottenham
18:00 Arsenal 3-0 Aston Villa
18:00 Bolton 2-1 Blackburn
18:00 Liverpool 1-2 Wigan
18:00 Norwich City 2-1 Wolves
18:00 Sunderland 3-1 QPR
18:00 Swansea 0-2 Everton
20:30 Stoke 1-1 Manchester City
NB: Saa za Afrika Mashariki
Man City, Chelsea na Tottenham zaendelea kusuasua, Liverpool yaendelea kuzama!
Arsenal yapaa!
Bolton yapata ushindi aka ugua pole kwa Muamba
----------------------------------------------------------------------------------------------------
Leo ni leo asiye na mwana.........!
Chelsea kama sio ushindi angalau sare itapunguza kasi ya Tottenham na kuipa nafuu Arsenal
Arsenal kwenye uwanja wa nyumbani ushindi ni muhimu ili kuwa na hakika ya kuchukua nafasi ya 3 kama sio ya pili ama ndoto za kuchukua ubingwa!!! Bila kusahau Aston Villa nao wanahitaji kujitoa kwenye janga la kushuka daraja.
Bolton wanahitaji ushindi kumpa Muamba matumaini ya kupona haraka na kujitoa kwenye janga la kushuka daraja.
Liverpool kwa matokeo yoyote itabaki kwenye nafasi ya 7 kama Swansea wasiposhinda. Wigan nao wanahitaji kujinasua kwenye nafasi ya 19 aka nafasi ya pili toka mwisho.
Man City a.k.a nguvu ya soda ikishinda itapanda kileleni kwa muda, ingawa kupoteza mechi ya ugenini yawezekana.
Msimamo ulivyo kabla ya mechi (point mabanoni):
1.Man Utd(70) 2. Man City (69) 3.Arsenal (55), 4.Tottenham(54), 5.Chelsea(49) 6.Newcastle(47) 7.Liverpool (42), 8.Swansea (39), 9.Sunderland (37), 10.Everton( 37) 11.Stoke (37)
No comments:
Post a Comment