16:30 Wolves 0-5 Manchester Utd
19:00 Newcastle 1-0 Norwich
NB: Saa za Afrika Mashariki
Man Utd yapaa, baada ya sherehe ya magoli, yafikisha point 70
Newcastle yafikisha point 47 na kuikaribia Chelsea yenye point 49.
---------------------------------------------------------------------------------------------------------
Man Utd ipo kileleni kwa point 67, inayo nafasi ya kuicha Man City kwa point 4 kama watachukua point 3. Wolves iliyopo nafasi ya 19 na point 22, inahitaji ushindi kubanduka kwenye hatari ya kushika daraja.
Newcastle inazo point 44 kwenye nafasi ya 6, inahitaji ushindi kabla nafasi hiyo aijachukuliwa na Liverpool yenye point 42. Liverpool itacheza Jumatano dhidi ya QPR.
Mechi ya Jumanne: Blackburn v Sunderland
Kwa mechi za 18 March - kombe la FA angalia habari iliyotangulia
No comments:
Post a Comment