17:05 Chelsea 5-2 Leicester
19:00 Liverpool 2-1 Stoke
NB: Saa za Afrika Mashariki
Kwa matokeo haya Chelsea na Liverpool wamaingia nusu fainali ya kombe la FA.
Liverpool wakichukua kikombe cha FA, watakuwa wamenyakua vikombe viwili msimu huu baada ya kile cha Carling.
Nusu fainali:-
Chelsea inasubiri mshindi kati ya Tottenham v Bolton
Liverpool itacheza na mshindi kati ya Everton v Sunderland
Mechi za leo zimechezwa kwa majozi, kufuatia kuugua kwa mchezaji wa Bolton, Patrice Muamba . Muamba alianguka ghafla wakati wa mechi iliyochezwa jana Jumamosi kati ya Tottenham v Bolton, mechi hiyo iliairishwa baada ya tukio hilo na hali yake bado ni taabani.
Kwa mechi za 18March - Ligi kuu ya Uingereza angalia habari inayofuata hapo juu.
No comments:
Post a Comment