Saturday 17 March 2012

MECHI ZA 17 MARCH 2012 - LIGI KUU YA UINGEREZA

18:00 Fulham 0-3 Swansea
18:00 Wigan 1-1 West Bromwich

NB: Saa za Afrika Mashariki

Swansea imefikisha point 39 na kusogea nafasi ya 8, Fulham imekwama kwenye nafasi ya 11

Wigan imefikisha point 22 na kubakia mkiani, West Bromwich wamefikisha point 36 na kusogea nafasi mbili juu (12)

-----------------------------------------------------------------------------------------------------------
Fulham ipo nafasi ya 10, Swansea nafasi ya 11 zote zina point 36.

Wigan ipo mkiani aka nafasi ya 20 na vipoint vyake 21, ushindi wa point tatu utaisogeza mpaka nafasi ya 17, matokeo ya sare hayataleta mabadiliko. 

West Bromwich ipo nafasi ya 14 na point 35, point tatu zitairusha mpaka nafasi ya 7 a.k.a nafasi ya 14 gawanya kwa 2.

Top ten ilivyo kabla ya mechi (point mabanoni):
1.Man Utd (67), 2.Man City (66), 3.Tottenham (53), 4.Arsenal (52), 5.Chelsea (49), 6.Newcastle (44), 7. Liverpool (42) 8. Sunderland (37), 9.Everton (37), 10.Fulham (36)

Kwa mechi za FA leo angalia habari iliyotangulia (hapo chini) 

No comments:

Post a Comment