Saturday 17 March 2012

MECHI ZA 17 MARCH 2012 - KOMBE LA FA UINGEREZA

15:45 Everton 1-1 Sunderland
20:30 Tottenham 1-1 Bolton

NB: Saa za Afrika Mashariki

Hakuna mbabe kati ya Everton na Sunderland.

Mechi ya Tottenham ilihahirishwa dk 41 kipindi cha kwanza baada ya  mchezaji wa Bolton, Fabrice Muamba kuugua wakati wa mechi.

Muamba alianguka (kuzimia) ghafla akiwa mwenyewe, na juhudi zilifanyika kiwanjani kuokoa maisha yake kwa zaidi ya dk 10, kabla ya kupelekwa hospital kwa matibabu zaidi ambapo amelazwa ICU.
                                         Sehemu ya tukio

Kwa mechi za ligi kuu ya Uingereza 17 March angalia habari inayofuata  a.k.a hapo juu!  

No comments:

Post a Comment