Sunday 25 March 2012

SIMBA YAIBUKA KIDEDEA DHIDI YA ES SETIF

Simba 2-0 Es Setif

Sio kwamba kipofu ............!

Simba wanahitaji pongezi kwa kuibuka na ushindi wa uhakika, sababu timu za Tanzania zimekuwa wateja kwa muda mrefu.

Ushindi wa mabao mawili yaliyo pachikwa kimiani na Okwi na Moshi umeipa Simba nafasi nzuri ya kusonga mbele kwenye mashindano ya kombe la Shirikisho la Afrika kama angalau wataambulia sare katika mechi ya marudiano.

Mechi ya marudiano: kati ya tarehe 6 mpaka 8 April 2012.

No comments:

Post a Comment