PAKA ALIPOINGIA UWANJANI MECHI YA LIVERPOOL V TOTTENHAM
Ingekuwa ni mechi ya watani wa jadi mbona tungepata hadithi tofauti, na wazee wa matunguri wangepata kazi ya ziada kukorokochaa motambo yao kutafuta ufumbuzi!
Angalia paka alipovamia kiwanja na kusababisha mechi ya Liverpool na Tottenham kusitishwa kwa muda....
No comments:
Post a Comment