Nusu fainali:
19:00 Zambia 1-0 Ghana
22:00 Mali 0-1 Ivory Coast
NB: Saa za Afrika Mashariki
Hayawi hayawi......!
Zambia a.k.a wana Chipolopolo wanaitaji ushindi kwa udi na uvumba, sababu ni timu pekee inayo wakilisha nchi za kusini ma jangwa la Sahara. Ghana ni wagumu na lolote linaweza kutokea.
Mali nayo kama ilivyo Zambia, inapambana na mmoja wa wababe wa soka barani Afrika, Ivory Coast. Kushinda kwa Mali ni kazi kubwa, lakini sababu mpira unadunda kila kitu kinawezekana.
Si ajabu tukaona Zambia na Mali ama mojawapo kucheza final.
-------------------------------------------------------------------------------------------------------------------
Hongera wana Chipolopolo, na Ivory Coast!
Mechi ya mshindi wa tatu na nne: Jumamosi , 11 Feb 2012: Ghana v Mali
mechi ya Final: Jumapili, tarehe 12 Feb 2012: Zambia v Ivory Coast
No comments:
Post a Comment