15:00 Crawley 0-2 Stoke
17:00 Stevenage 0-0 Tottenham
19:30 Liverpool 6-1 Brighton
NB:Saa za Afrika Mashariki
Baada ya Arsenal kutolewa kwenye mashindano ya kombe la FA jumamosi, hatimaye Tottenham wanachungulia mwelekeo huo baada ya kutoka bila mshindi, na kusubiri mechi ya marudiano.
Bwawa la maini wamefanya karamu ya magoli bila huruma!
No comments:
Post a Comment