20:00 CSKA Moscow 1-1 Real Madrid
22:45 Napol 3-1 Chelsea
NB: Saa za Afrika Mashariki
Real Madrid wamechezea shiling chooni! Pamoja na kupata bao dakika ya 28 ( Ronaldo), Real wameachia mwanya na kuifanya CSKA kusawazisha dakika za mejeruhi za kipindi cha pili!
Chelsea nao kama Arsenal! Kila mechi wanapata kipigo, msimu huu Waitaliano wana wafundisha Waingereza namna ya kucheza mpira wa miguu!
No comments:
Post a Comment