22:45 FC Basel 1-0 Bayern Munich
22:45 Marseille 1-0 Inter Milan
NB:Saa za Afrika Mashariki
Bila kusahau mechi ya maridiano kombe la Europa League leo :-
20:00 Man City 4-0 Porto ( saa za Afrika Mashariki)
Man City wafanya karamu ya magoli dhidi ya Porto. Katika mechi ya kwanza Man City waliichapa Porto 2-1. Kwa matokeo hayo Man City wameingia kwenye hatua ya timu 16 zitakazochuana katika kombe hilo la Europa ligi.
Marseille wamepata bao la ushindi kwenye dakika za majeruhi za kipindi cha pili, kupitia mpira wa kona uliosindikizwa goloni kwa kichwa na mchezaji machachari Ayew.
No comments:
Post a Comment