Saturday, 18 February 2012

MECHI ZA 18 FEB 2012 - KOMBE LA FA UINGEREZA

15:30 Chelsea 1-1 Birmingham
18:00 Everton 2-0 Blackpool
18:00  Millwall 0-2  Bolton
18:00 Norwich 1-2 Liecester
20:15 Sunderland 2-0 Arsenal

NB: Saa za Afrika Mashariki

Kweli siku ya kifo cha Nyani..............!
Arsenal wametolewa kwenye kombe la FA, ikiwa ni kipigo kingine katika wiki hii, kufuatia kipigo walichopata Jumatano baada ya kupoteza 4-0 dhidi ya AC Milan, kwenye Ligi ya Mabingwa wa Europe! Matumaini ya kupata vikombe yanaendelea kuyeyuka!

No comments:

Post a Comment