23:00 Liverpool 0-0 Tottenham
NB: Saa za Afrika Mashariki
Liverpool imeshindwa kutumia mechi ya leo vizuri na kubahatisha point moja na kufukisha point 39 na kubakia kwenye nafasi ya 7, nafuu kwa Arsenal yenye point 40.
Tottenham nayo imefikisha point 50, nyuma ya Man Utd yenye point 55 iliyo kwenye nafasi ya 2.
No comments:
Post a Comment