Sunday, 5 February 2012

MECHI ZA 05 FEB 2012 - AFRICA CUP OF NATIONS

Robo final
19:00 Gabon 5-6 Mali (dk 120, 1-1 + Penalty 4-5)
22:00 Ghana 2-1 Tunisia

NB: Saa za Afrika Mashariki

Hayaa kumekucha, asiye na mwana.........!
Mali imeingia nusu final kwa mbinde baada ya kukosekana  mbabe kwa kutoka 1-1 katika dk 120. Mali imefanikiwa kushinda kwa matuta aka penalty na  kuwatoa kwenye mashindano wenyeji wenza wa E.Guinea , Gabon!

Ghana nayo imefanikiwa kusonga nusu final kwenye muda wa ziada na kumaliza mechi kwenye dk 120

Nusu final Jumatano, tarehe 8 Feb 2012: Zambia v Ghana, Ivory Coast v Mali.

No comments:

Post a Comment