Saturday 4 February 2012

MECHI ZA 04 FEB 2012 - LIGI KUU YA UINGEREZA

16:00 Arsenal 7-1 Blackburn
18:00 Norwich 2-0 Bolton
18:00 QPR 1-2 Wolves
18:00 Stoke 0-1 Sunderland
18:00 West Brom 1-2 Swansea
18:00 Wigan 1-1 Everton
20:30 Man City 3-0 Fulham

NB: Saa za Afrika Mashariki

Arsenal katika mechi nne zilizopita imetoa sare moja na kupoteza tatu! Angalau leo wamefurukuta na kuisambaratisha  Blackburn, lakini matokeo ya leo hayatoshi, kwani kuna mlolongo wa timu zinazivizia mwanya wowote kuchukua nafasi kucheza Champions league msimu ujao, hongera kwa wana Arsenal!

Man City nayo imepona kizunguzungu chake leo  na kujipa matumaini ya kuitoka Man Utd, hata hivyo kaza wanayo ubingwa wa msimu huu bado sio wao!

Kesho mechi za kukata na shoka: Newcastle v Aston Villa, Chelsea v Man Utd.

No comments:

Post a Comment