Kundi D
21:00 Botswana 1-2 Mali
21:00 Ghana 1-1 Guinea
NB: Saa za Afrika Mashariki
Guinea imeshindwa kufurukuta dhidi ya Ghana na msumari wa mwisho ni matokeo ya mechi ya Botswana v Mali.
Ghana na Mali zimeingia robo final. Botswana na Guinea 'adioooos amigo' !
Msimamo baada ya mechi: Ghana (7), Mali (6), Guinea (4), Botswana (0)
Mechi za robo final:
4 Feb: Zambia v Sudan, Ivory Coast v Equatorial Guinea
5 Feb: Ghana v Tunisia , Gabon v Mali
No comments:
Post a Comment