Saturday 4 February 2012

MECHI ZA 04 FEB 2012 - AFRICA CUP OF NATIONS

Robo Final:
19:00 Zambia 3-0 Sudan
22:00 Ivory Coast 3-0 Equatorial Guinea

NB: Saa za Afrika Mashariki

Wana Chipolopolo (Zambia) wameingia nusu final, Sudan wameshindwa kufurukuta. Taifa Stars waendelee kukudoa macho kwenye luninga kama kawaida yao, watabakia kunawa!

Ivory coast wameingia nusu final kwa wabamiza wenyeji bila huruma,na kuwageuza kuwa watazamaji!

Nusu final tarehe 8 February .

Mechi za kesho robo final, 5 Feb: Gabon v Mali, Ghana v Tunisia

No comments:

Post a Comment