Group B
19:00 Sudan 2-2 Angola
22:00 Ivory Coast 2-0 Burkina Faso
NB: Saa za Afrika Mashariki
-Sudan imejitahidi kupata point moja, inahitaji kushinda mechi ya mwisho dhidi ya Burkina Faso, huku ikitegemea Angola kupoteza mechi dhidi ya Ivory Coast
-Ivory Coast imeingia robo final, wakati matumaini ya Burkina Faso kusonga mbele kwenye robo final yametoweka aka kupeperuka!
-Msimamo ulivyo ( point kwenye mabano) : Ivory Coast (6), Angola (4), Sudan (1) , Burkina Faso (0)
-Mechi za mwisho kundi hili ni terehe 30 Jan: Sudan v Burkina Faso, Ivory Coast v Angola
No comments:
Post a Comment