22:45 Liverpool 2-2 Man City
NB: Saa za Afrika Mashariki
-Liverpool imetoka sare mechi hii ya marudiano, hivyo ukichanganya ushindi wa mechi ya kwanza wa 1-0 inawapa ushindi wa 3-2.
-Ushindi huu umewapa ticket kucheza mechi ya final dhidi ya Cardif , tarehe 26 Feb 2012.
-Liverpool inakibarua kingine Jumamosi, 28 Jan dhidi ya Man Utd , mechi ya kombe la FA
No comments:
Post a Comment