Wednesday 25 January 2012

MECHI ZA 25 JAN 2012 - AFRICA CUP OF NATIONS

Kundi A
19:00 Libya 2-2 Zambia
23:15 Equatorial Guinea 2-1 Senegal

NB: Saa za Afrika Mashariki

-Equatoria Gunea ilishinda 1-0 dhidi ya Libya, na kuzawadiwa dola za Kimarekani millioni 1, na mfunga goli alipata dola 20,000 za ziada. Zawadi hizo zilitolewa na mtoto wa raisi wa nchi hiyo, ambaye pia ni Waziri wa kilimo, kama alivyo ahidi!

-Kwa ushindi wa leo dhidi ya Senegal wanategemea zawadi nyingine nono! Lakini zawadi hizi zimezua utata, amepeta wapi mshiko wote huo? Majibu yanachimbwa!

-Wana Chipolopolo (Zambia) bado wanayo matumaini ya kucheza robo final,wanahitaji point moja mechi inayofuata dhidi ya wenyeji Equatorial Guinea kumaliza kazi.

-Msimamo ulivyo (point kwenye mabano) 1.E Guinea (6), 2.Zambia (4), 3.Libya (1), 4.Senegal (0)

-Mechi za mwisho kundi hili ni, 29 Jan : E.Guinea v Zambia, Libya v Senegal   

No comments:

Post a Comment