Sunday, 8 January 2012

MECHI ZA 08 JAN 2012 - KOMBE LA FA

Baadhi ya matokeo (ya vigogo vya Premier League tu ) kwenye mzunguko wa tatu kombe la FA :-

Chelsea 4-0 Portsmouth
Man City 2-3 Man Utd
Peterborough 0-2 Sunderland

Hongera (aka pole!!) ziwandee wapenzi wa Man City kwa kipigo walichopata leo toka kwa vijana wa Man Utd! Kwa ushindi huo Man Utd watapambana na Liverpool mzunguko wa nne (28 Jan).

Macho na masikio kesho yataelekezwa kiwanja cha Emirate ( Arsenal v Leeds , 22:45)! Baada ya kukamilisha taratibu za kuichezea Arsenal kwa mkopo wa miezi miwili (Jan & Feb), Thiery Henry (aka King Henry)  anatarajiwa kuchezeshwa kesho. Maswali kibao - Je atachezeshwa? Atafunga bao? Arsenal watashinda ama watashindwa?

No comments:

Post a Comment