22:45 Tottenham 1-0 West Brom
22:45 Wigan 1-4 Sunderland
23:00 Man City 3-0 Liverpool
NB: Saa za Afrika Mashariki
-Totteham inawasogelea Man City na Man Utd taratibu! Balaa la top six alijawakumba bado.
-Sunderland waliifunga Man City mechi iliyopita, na wameendeleza ushindi leo.
-Man City imepunguza maumivu ya kufungwa na Sunderland mechi iliyopita. Lakini upepo wa balaa la timu kubwa kufungwa limeelekezwa kwa Liverpool! Pole kwa washabiki wa bwawa la maini aka Liverpool.
-Mechi za kesho- Everton v Bolton (23:00), Newcastle v Man Utd (23:00)
No comments:
Post a Comment