18:00 Aston Villa 0-2 Swansea
18:00 Blackburn 1-2 Stoke
18:00 QPR 1-2 Norwich
18:00 Wolves 1-2 Chelsea
20:30 Fulham 2-1 Arsenal
NB: Saa za Afrika Mashariki
-Chelsea wameponea leo baada ya kupata bao la ushindi dk za mwisho na kusogea nafasi ya nne!
-Arsenal wamekumbwa na balaa lililowakumba Man Utd,Man City na Chelsea. Fulham ilitoka sare (1-1) katika mechi zake mbili zilizopita ikiwepo Chelsea na Norwich, Man Utd waliwapiga 5-0. Arsenal wamepoteza point tatu na red card aliyopewa defender (Djorou)! Thierry Henry bado anakamilisha taratibu za usajili , lazima achezeshwe mechi ijayo. Arsenal wamebakia nafasi ya tano!
-Blackburn waliwapa kipigo cha nguvu Man Utd ,na walitoa sare dhidi ya Liverpool. Juhudi zao zimegonga ukuta leo!
-Kesho: Man City v Liverpool, Tottenham v West Brom, Wigan v Sunderland
No comments:
Post a Comment