Sunday 1 January 2012

MECHI ZA 01 JAN 2012 - LIGI KUU YA UINGEREZA

15:30 West Brom 0-1 Everton
18:00 Sunderland 1-0 Man City

NB: Saa za Afrika Mashariki

Mchakato wa Top six:-
-Man Utd na Chelsea wamefunga mwaka kwa kupoteza point tatu kila moja, wakati Tottenham waliambulia point moja dhidi ya Swansea. Arsenal na Liverpool waliibuka na ushindi mnono kila moja ikitoka na point tatu za nguvu!

-Man City imeanza kwa kupoteza point tatu muhimu, nafuu kwa Man Utd waliopoteza mchi ya jana! Madhara ya nguvu za soda ndio haya.

No comments:

Post a Comment