Friday 2 December 2011

TANZANIA YASAINI MKATABA WA EAC BAADA YA MAELEWANO

Serikali ya Tanzania imetia saini mkataba wa EAC baada ya kusikilizwa madai yake.

Tanzania iligomea kutia saini kufuatia utata wa vipengele vinavyogusa Ulinzi na Ardhi kuleta utata, ingawa nchi nyingine za umoja huo zilishani.

Viongozi wa Umoja huo wamekubali kuyapitia maeneo hayo yenye utata na kuyafanyia marekebisho ndani ya mwaka mmoja (http://www.thecitizen.co.tz/news/49-general-elections-news/17565-tanzania-signs-eac-integration-pact )

Tusubiri mpaka mwakani muda kama wa leo kama mabadiliko yatafanyika!

Kazi nzuri Samweli Sitta!

No comments:

Post a Comment