Wednesday 30 November 2011

MAN UNITED YATOLEWA CARLING CUP

Kifo cha wengi..............!


Man Utd 1- 2 Crystal Palace

Man United imeonja joto ya jiwe baada ya kupata kibano hicho toka kwa timu hiyo ya daraja la chini, huku Man Utd wakiwa na wachezaji kedekede wa kimataifa lakini awakuweza kufurukuta.  

Crystal Palace walijipatia bao la kuongoza dakika ya 65, na Man Utd walisawazisha kwa kwa njia ya penalt katika dakika ya 69, Mechi ilienda extra time na Crystal Palace walijipatia bao la ushindi dakika ya 98.

Man Utd inaungana na magwiji wengine wa premier league waliotolewa jumanne (29 Nov 2011) ambapo matokea yalikuwa: -
Arsenal 0-1 Man City 
Chelsea 0-2 Liverpool


Mechi za semi final zitachezwa 09 Jan 2012 kama ifuatavyo-
Man City v Liverpool
Crystal Palace v Cardif

Marudiano ni 23 Jan 2012, na Final itakuwa 29 Feb 2012

Nani kuchukua ubingwa? Cardif ama Crystal Palace.

No comments:

Post a Comment