Monday, 12 December 2011

MECHI ZA 12 DEC 2011 - LIGI KUU YA UINGEREZA

23:00 Chelsea 2-1 Man City

NB: saa za Afrika Mashariki

Ahhhhh, Kumbe kweli siku hazifanani! 
Kazi waliyoifanya Chelsea sio ndogo kuwavuta shati Man City. Baada ya chelsea kupigwa bao dk ya pili hakuna aliyeamini kama Chelsea wangerudisha dk ya 34 na kuongeza bao la ushindi dk ya 83! Man City sio kwamba tu wamepoteza point tatu bali wamepata zawadi ya red card.

Haya ngoma kwa Arsenal watakapo wakaribisha Man City wkend, nini kitatokea?

No comments:

Post a Comment