Thursday, 8 December 2011

MICHUANO YA CECAFA , TZ TUTAISHIA KUNAWA !

Wanasema ukimchunguza kuku..............!

Kwahiyo sio vizuri kusema nini kimejiri michuano ya CECAFA, bali tuelewe fainali itakuwa Jumamosi kati ya Uganda v Rwanda  ( aka Museveni v Kagame)

Mmmmmm

Lakini wahenga wanasema 'asiye kubali kushindwa...................! Ni kwamba tumeleweshwa chupa 3 za nguvu

Tanzania Bara (Kilimanjaro Stars) 1-3 Uganda (The Cranes)

Rwanda 2-1 Sudan




No comments:

Post a Comment