Wednesday 28 December 2011

MALIPO YA VAT KWA ABIRIA WASIO WAKAZI NCHINI

Kuanzi tarehe 1 Jan 2012 abiria wasio wakazi (Non-Citizen Passengers) wanaosafirisha bidhaa toka Tanzania watarudishiwa malipo ya VAT waliyolipa kwenye manunuzi ya bidhaa nchini, nia ikiwa ni kuvutia mauzo ya bidhaa za Tanzania nje (exports) ya nchi.

Baadhi ya masharti -
-Abiria asiwe mkazi nchini Tanzania (Non-Citizen passenger)
-Receipt ya madai iwe halali.
-Malipo ya madai yatafanywa Julius Nyerere International Airport au Kilimanjaro International Airport
-Thamani ya bidhaa isipungue Tsh 400,000

Kwa masharti na maelezo zaidi twanga link- http://www.tra.go.tz/index.php?option=com_content&task=view&id=504&Itemid=59

No comments:

Post a Comment