Monday 28 November 2011

SWAHILI FASHION NA MIAKA 50 YA UHURU WA TANGANYIKA

Kazi nzuri anayoiendeleza Mustafa Hassanali kwenye fashion


Swali:  Tunaposema sherehe za miaka 50 ya uhuru wa Tanzania ni sahihi?

NB: Tanzania ni muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Zanzibar wanayo siku ya kusherehekea uhuru wao ,  pai tunayo siku ya kusherehekea Muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Tanganyika ipo wapi! Inabidi kurekebisha upotoshaji wa ujumbe wa sherehe hizi

No comments:

Post a Comment