Saturday 22 October 2011

USHOGA NA UCHANGUDOA BOTSWANA

Aliyekuwa rais wa Botswana 1998-2008 Bw. Festus Mogae ameshauri serikali ya nchi hiyo kuhalalisha ushoga(homosexuality) na uchangudoa(prostitution) ikiwa ni njia ya kupambana maambukizi ya HIV/Aids.

Asilimia 17 ya watu nchini Botswana wameathirika na  magonjwa hayo. Serikali bado aijapitisha swala hilo kisheria.

twanga hapa- http://www.bbc.co.uk/news/world-africa-15368752

Kwa upande wa Tanzania jambo hili limekaa vipi, ingawa si ngeni maeneo ya pwani. Nchini Uganda swala hili limeshazua mijadala ya kisheria ndani na nje ya bunge. Nchini Kenya hili jambo sio jipya  maeneo ya pwani haswaaa kule Mombasa.

Tukiachilia mbali uhalali, swali ni kwamba kuna mausiano kati ya maambukizi HIV/Aids na ushoga na uchangu?  Nadhani inahitajika majibu ya kitaalamu ama utafiti. Wahenga wanasema 'heri kinga kuliko............!   

No comments:

Post a Comment