Saturday 22 October 2011

RAIL ITAKAYO UNGANISHA RUSSIA NA US

Wahenga wanasema ng'ombe wa masikini .......' 

Lakini siamini kwamba nchi za Afrika ni masikini kiasi cha kushindwa kujenga njia za usafiri kama barabara mijini nk, tukichukulia utajiri wa madini nk. tulio nao. Kwa upande Tanzania ulibuniwa mradi wa mabasi yaendayo kasi BRT- (Bus Rapid Transit) kwa mji wa Dar es salaam yaani Dar es salaam Rapid Transit (DART), na hatimaye uzinduzi wa mradi huo kufanyika Aug 2010.


Uzinduzi wa mabasi yaendayo kasi Kivukoni Aug 2010

Mradi huu ukikamilika utakuwa wa kwanza barani Afrika. Ujenzi wa miundo mbinu unaendelea, twanga hapa-  http://www.globalpublishers.info/profiles/blogs/ujenzi-stendi-za-mabasi-yaendayo-kasi-dar-waendelea

Angalia mpango wa ujenzi wa rail itakayo unganisha Russia na USA ulibuniwa mwaka 1905, utachukua miaka 10 au 15 kukamilika kama utaanzishwa......


Tutafikia hatua kama hizi lini?
Tanzania na Afrika Mashariki kuna miji mingi, kuunganisha barabara baina ya nchi ni songombingo, hata barabara za vijijini kwenda mijini! Tunayo safari ndefu.

No comments:

Post a Comment