Monday 24 October 2011

SHUTUMA ZA UBAGUZI WA RANGI LIGI KUU YA UINGEREZA

Hivi ni kweli ubaguzi wa rangi (RACISM)  bado upo kwenye nchi zilizoendelea?

Mpira wa miguu unasifika kwa kupiga vita ubaguzi wa rangi.Wapenzi na watafiti wa mpira wa miguu wamelalamika kufuatia madai kwamba mchezaji wa Chelsea ambaye ni captain, John Terry (JT) alitumia maneno ya ubaguzi wa rangi (racism) dhidi ya mchezaji wa QPR Anthony Ferdinand (AF) kwenye mechi iliyochezwa jana.

Inasemekana, ama kusomeka kwenye video JT akimwambia AF, Athony you F... black cunt, f... knobhead! Inawezekana alisema blind na sio black!

Kosa ni kusema black, sababu inaonyesha mtazamo wa JT dhidi wa watu weusi, lakini JT amekanusha. Je AF atajibu vipi shutuma hizo? Akimtetea JT kesi itakuwa imeisha, lakini akikubali kwamba JT alimwambia hivo, hatua gani zitachukuliwa dhidi ya JT .

Twanga hapa soma kwa makini maneno yanayotoka mdomoni mwa JT- http://www.youtube.com/watch?v=IlQHfEwjHHU&NR=1  ( link hii imefungwa sbb ya kesi inayoendelea )

No comments:

Post a Comment