Thursday 1 September 2011

WAJASIRIAMALI WASOTESHWA NA WAWEKEZAJI TOKA CHINA

Inasikitisha kuona wawekezaji kutoka nje wanavyo tumia nafasi zao kudidimiza maisha ya wavuja jasho na hasa wale wasio na njia nyingine ya kuishi isipokuwa kufanya shughuli zisizoitaji utaalamu ama elimu.

Badhi ya wawekezaji kutoka China walilaumiwa kuingilia biashara ndogo ndogo Kariakoo, na sasa wanalaumiwa kuingilia biashara za ununuzi wa plastic ambazo usafirishwa kwenda China kutengeneza bidhaa mbali mbali ikiwemo nywele bandia, nguo n.k.

Wazawa wanastahili kulindwa na kuwezeshwa kuchangia uchumi.
angalia hapa- http://www.bbc.co.uk/news/world-africa-14732206

No comments:

Post a Comment