Waasi nchini Libya wamefika mji mkuu wa Tripol kwa hali inavyokwenda inaelekea kutakuwa na hali tofauti muda si mrefu, je siku kama ya leo wiki ijao Gaddafi atakuwa wapi na nchi ya Libya itakuwa mikononi mwa nani?
Waasi wamezunguka mji wa Tripol pande zote kaskazini ,kusini na magharibi wakati majeshi ya NATO yapo pwani ya kaskazini ,Gaddafi na majeshi yake hayana pakukimbilia isipokua kukubali matokeo
Waasi wapo umbali wa kilometa chache kufika katikati ya mji wa Tripol. Je Ghaddafi yupo wapi kwa sasa na atakimbilia wapi ama mwisho wake utakuwaje?
Nadhani kama sio kuamkia kesho asubuhi, jumapili ijayo hali ya sasa itakuwa ni historia.
for more- http://www.bbc.co.uk/news/world-africa-14606618
- http://english.aljazeera.net/news/africa/2011/08/201182193129278233.html
No comments:
Post a Comment