Kama sio wendawazimu ni nini!
Inawezekanaje maamuzi ya kushusha bei ya mafuta bila makubaliano kati ya watumiaji na wauzaji wa mafuta? Uzembe upo wa aina nyingi, na hasara kama hizi zinachangia hasara kwa taifa, haswa ikifahamika kwamba mgao wa umeme ni tatizo kubwa, mafuta ndio njia mbadala na bado uzembe kama huu unafanyika kushusha bei za mafuta bila kufuata taratibu za majadiliano na wadau wote wa mafuta.
Ni hasara kiasi gani imesababishwa na nani atawajibika?
Kwa habari zaidi- http://www.thecitizen.co.tz/news/-/13403-now-fuel-vanishes-after-price-reduction
No comments:
Post a Comment