Monday, 18 February 2013

MECHI ZA 18 FEB 2013 - KOMBE LA FA (UINGEREZA)

23:00 Man Utd 2 - 1 Reading

NB: Saa za Afrika ya Mashariki

Man Utd yaingia robo fainali. ya kombe la FA, itapambana na mshindi wa mechi kati ya Middlesbrough v Chelsea!

-------------------------------------------------------------------------------------------------
Ni mzunguko wa tano, Man Utd itafuata nyao za Arsenal kuaga kombe hili?

Kesho: UEFA  kombe la mabingwa - Arsenal v Bayern Munich, FC Porto v Malaga

No comments:

Post a Comment