22:45 Arsenal 1 - 3 Bayern Munich
22:45 FC Porto 1 - 0 Malaga
NB: Saa za Afrika ya mashariki
Arsenal inasafari ndefu, kuzidia nguvu na ujuzi wa kuchungulia goli hivi!
Bayern ilipachika bao la kwanza dk ya 7, na kuongeza la pili dk ya 21. Ndani ya dk ya 10 ya kipindi cha pili, Podolski akaipatia bao la kwanza, pamoja na Arsenal kuendeleza juhudi,lakini ni Buyern Munich waliopata bao dk 13 kabla ya kipenga cha mwisho.
Mechi ya marudiano Arsenal itatimiza wajibu tu, labda miujiza itokee.
--------------------------------------------------------------------------------------------------------
Arsenal itafuta machungu ya kutolewa kombe la FA?
Buyern Munich inaongoza ligi ya Ujerumani (Bundesliga) ikiwa na point 57, ikifuatiwa na Dortmund yenye point 42.
Arsenal ipo katika nafasi ya 5 ya ligi kuu ya Uingereza ikiwa na point 44, kwa tofauti ya point 21 dhidi ya Man Utd yenye point 65 inayoongoza ligi hiyo.
Kesho: AC Milan v Barcelona, Galatasaray v Schalke 04
No comments:
Post a Comment