15:00 Chelsea 4 - 0 Brentford
17:00 Manchester City 4 - 0 Leeds Utd
18:55 Huddersfield 1 - 4 Wigan Athletics
NB: Saa za Afrika ya Mashariki
Man City, Wigan zaingia robo fainali. Chelsea kucheza mzunguko wa 5 dhidi ya Middlesbrough, 27 Feb.
--------------------------------------------------------------------------------------------------------
Ni mechi za mzunguko wa 5 isipokuwa mechi ya Chelsea v Brentford ambayo ni ya mzunguko wa 4.
Timu gani za Ligi kuu kuungana na Arsenal kuaga mashindano haya, ni Chelsea, Man City, ama Wigan?
Kesho: Man Utd v Reading
No comments:
Post a Comment